Aprili 2025 hadi sasa: Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasilisho na Shahada za Juu Kitivoni
Juni 2023 hadi sasa: Msimamizi na Mshirikishi wa Programu (Academic Program Leader) ya shahada ya kwanza katika Kiswahili- Chuo Kikuu cha Egerton, Bewa la Njoro.
Juni 2023 hadi sasa: Mwakilishi wa Kitivo cha Sanaa na Sayansi za Jamii katika Kurugenzi la Shahada na Masomo ya Juu- Chuo Kikuu cha Egerton, Bewa la Njoro.
Machi 2023 hadi sasa: Mshirikishi, Mratibu na Mwenyekiti wa mawasilisho ya Shahada za juu Idarani. Mshirikishi, mwelekezi na Mratibu wa Kozi na Masomo ya Kiswahili Idarani.
Aprili 2019 hadi 2022: Mwakilishi wa Kitivo cha Sanaa na Sayansi za Jamii katika Bodi ya Shule ya Masomo ya Juu
Januari 2019: Mwenyekiti Mshikilizi- Idara ya Lugha na Fasihi
Februari 2019 hadi sasa: Mlezi (Patron) wa chama cha Wanafunzi Waigizaji katika kitengo cha Mdiri wa Wanafunzi
2019 hadi sasa: Mhadhiri wa Kiswahili (Isimu ya Kiswahili na Nadharia za Isimu, Tafsiri, Lugha na Mawasiliano, Lugha, Jinsia na Ujinsia)
25.07.2019 hadi 22.08.2019: Mwenyekiti Mshikilizi- Idara ya Lugha na Fasihi
2017 hadi Sasa: Mwanachama katika kamati ya uzingatiaji wa ubora wa huduma na kamati ya utafiti katika Kitivo cha Sanaa na Sayansi za Jamii- Chuo Kikuu cha Egerton, Bewa la Njoro.
Juni 2013 hadi 2018: Mhadhiri Msaidizi- Chuo kikuu cha Egerton
2012 hadi sasa: Msimamizi wa maswala ya utahini na mitihani katika Idara ya Fasihi, Lugha na Isimu
2009 hadi 2013: Mhadhiri wa muda Idara ya Fasihi, Lugha na Isimu- Chuo kikuu cha Egerton na Laikipia
Mei 09 – Julai 09: Mtafsiri Mkuu (www.susana.org) Kutafsiri Makala ya Taasisi ya SuSanA (sustainable Sanitation Network) Kutoka Kiingereza hadi kwa lugha ya Kiswahili.
2007 hadi 2013: Msimamizi, mwelekezi na Mshirikishi wa miradi ya ROSA na CLARA katika Chuo Kikuu cha Egerton- Kitengo cha Utafiti. Kuelekeza na kusimamia shughuli za kila siku nchini Kenya na kuwa kiungo kati ya wanamiradi hapa nchini na wafadhili wa Umoja wa Ulaya Uandalizi wa ripoti, uratibu na utekelezaji wa shughuli za uhamasisho na kuwakilisha mradi serikalini na katika vikao vya kitaifa na kimataifa.
2006 hadi 2007: Mwalimu wa Kiswahili na Fasihi na mkuu wa Idara ya Lugha katika shule ya wasichana ya Christ the King Academy- Jimbo Katoliki la Nakuru.
HUDUMA KWA JAMII NA TAASISI ZA JAMII
Machi 2026 hadi sasa: Mwenyekiti wa Baraza la Kanisa-St Stephen Catholic Church-Barnabas; Jimbo Katoliki la Nakuru
Septemba 2025 hadi sasa: St. Bakhita Bahati Girls- Mwenyekiti wa Halmashauri ya Usimamizi wa Shule.
Agosti 2023 hadi sasa: Mwenyekiti wa Wanataaluma katika Parokia ya Kikatoliki ya Mt. Simon na Jude-Machine- Nakuru
Juni 2025 hadi Sasa: UPPERHILL Secondary School- Mwenyekiti wa Halmashauri ya Usimamizi wa Shule
Juni 2022 hadi 2025: Nakuru Day Secondary School- BOM Vice Chairperson
Nov 2021 hadi Machi 2025: Kanyiriri Mixed Secondary School; Nyandarua- BOM Member
2019 to 2022: Gitare Seconday School; Gilgil- BOM Chairperson
Aprili 2012-Mei 2018: St. John The Evangelist Catholic Church; Muguga Nakuru-Church and Parish Secretary
Aprili 2013: Catholic Diocese of Nakuru- Translating Novena of the Holy Spirit Book
Dec 2012: Coulson Girls Secondary School- BOM Member